LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

UBOVU WA BARABARA IBUNGILO ITABAKI HISTORIA,MCHAGUENI DK MAGUFULI- DK.MABULA.



Mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Dk.Angeline Mabula, akilakiwa kwa shangwe alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni Kata ya Igumbilo.

Dk. Mabula akiwa meza kuu pamoja  na viongozi wengine
Mabango ya wagombea wa CCM yakiwa yametawala katika mkutano huo.


SERIAKLI imetenga sh. mil. 67 kwa ajili ya ukarabati wa barabara katika Kata ya Igumbilo, Jimbo la Ilemela, Mwanza.

Hayo yamesemwa na mgombea Ubunge CCM jimbo la Ilemela Dk. Angeline Mabula wakati akizungumza na wakazi wa kata hiyo ikiwa ni mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni.

Amesema fedha hizo tayari zimetengwa zitakarabatiwa barabara za ndani za kata hiyo na kumaliza kero hiyo ya muda mrefu.

Dk. Angeline Mabula amewakumbusha wakazi wa kata ya Ibungilo kuhakikisha wanamchagua kwa kura zote John Pombe Magufuli kuwa Rais watanzania, Dk. Angeline Mabula kuwa mbunge wa Ilemela na Comrade Hussein Magela kuwa Diwani wa kata hiyo.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages