LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 25, 2020

RICHARD NDASSA ALIFANYA KAZI NZURI KATIKA JIMBO LA SUMVE - MAJALIWA

Aliyekuwa Mbunge wa Sumve Marehem Richard Ndassa akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika tukio mojawapo wakati wa uhai wake.

Kwimba, Mwanza
MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Sumve  Richard Ndassa alifanya kazi kubwa za kimaendeleo katika jimbo hilo.


Ametoa kauli hiyo jana jioni, Alhamisi, Septemba 24, 2020, wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Sumve wilayani Kwimba, mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika kwenye viwanja vya Misheni.
MSIKILIZE MAJALIWA:👉
BOFYAPO👇


 


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages