LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2020

MWANRI NA BASIL MRAMBA WAMSAIDIA WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ROMBO, LEO

Naibu Waziri  na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Aggrey Mwanri (Kulia) akimnadi Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda  katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, leo.
Mbunge wa zamani wa Rombo na Waziri Mstaafu,  Basil Mramba (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa  CCM jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

  1. Huu ndio mshikamano wa Chama Kubwa na Upendo ndani ya CCM

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages