Abbas Mtemvu Akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya 14 Dar es Salaam.
Mbunge mteule Dorothy Kilave (kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi meza kuu. Kulia ni Abbas Mtemvu na Katibu Kata ya 14 Kiame Kassim. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇