LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 12, 2020

MSIKILIZE MGOMBEA UBUNGE MAVUNDE AKITANGAZA AHADI LUKUKI ZA MAANA DODOMA MJINI+VIDEO

Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde akizungumza katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni katika Shule ya Chang'ombe, jijini Dodoma hivi karibuni, ambapo pamoja na mambo mengine aliahidi kusambaza kompyuta katika shule za msingi na sekondari jimboni humo, kuchimba visima, kujenga shule kwa kutumia mfuko wake binafsi. Endelea kusikiliza ahadi zingine lukuki za maana alizozitoa siku hiyo....

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages