LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2020

MJANE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE ANOGESHA MKUTANO WA KAMPENI ZA DKT MAGUFULI MJINI MUSOMA

 

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi

Septemba 5, 2020

 Wagombea nafasi za udiwani katika mbalimbali mkoa wa Marawakihamasishana kupiga push-up kuonesha uimara mbele ya Mgombea Uraiswa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala
Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa kampenikatika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Septemba 5, 2020

 

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwasili na
wanae Makongoro na Madaraka Nyerere kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli
akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020

Mama Janeth Magufuli akimwamkia Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipowasili kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara
leo Jumamosi Septemba 5, 2020

Mama Janeth Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipojiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Septemba 5, 2020



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages