Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dk. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇