LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI ALAKIWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MJINI BUKOBA, LEO

Jinsi mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli Septemba 15, 2020, amewasili mjini Bukoba mkoani Kagera  kwa ajili ya kufanya mikutano ya kapeni katika mkoa huo. Zifuatazo ni taswira mbalimbali ya mapokezi makubwa aliyopata kutoka kwa wananchi wa mji huo.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages