Vijana katika Kata ya Simbo mkoani Kigoma wakikwea bango ili waweze kumuona vizuri Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk. John Magufuli alipofika katika eneo lao kuomba kura akiwa njiani kwenda Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kuendelea na mikutano yake ya kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akizungumza na Wanannchi kuwaomba kura katika Kata ya Simbo mkoani Kigoma, akiwa njiani kwenda Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kuendelea na mikutano yake ya kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020. Nyuma yake ni miti ya zao la Mchikichi ambalo katika kampeni zake mkoani Kigoma ameahidi kuliendeleza kwa ajili ya kuinua uchumi wa wananchi na Taifa kwa jumla.
Wananchi katika Kata ya Simbo mkoani Kigoma wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alipofika katika eneo lao kuomba kura akiwa njiani kwenda Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kuendelea na mikutano yake ya kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na kuwaomba kura Wananchi katika Kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma, akiwa njiani kwenda Wilayani Urambo mkoani Tabora kuendelea na mikutano yake wa kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020
Wananchi wa Kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma wakimsikiliza Dk. Magufuli alipozungumza nao kuwaomba kura akiwa njiani kwenda Wilayani Urambo mkoani Tabora kuendelea na na mikutano yake wa kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020

Your Ad Spot
Sep 20, 2020
Home
featured
siasa
MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI AOMBA KURA KAZURAMIMBA NA SIMBO MKOANI KIGOMA AKIWA NJIANI KWENDA URAMBO MKOANI TABORA, LEO
MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI AOMBA KURA KAZURAMIMBA NA SIMBO MKOANI KIGOMA AKIWA NJIANI KWENDA URAMBO MKOANI TABORA, LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇