LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2020

MAMA SAMIA AUNGURUMA KIGAMBONI KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM, LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa kikundi cha Mama Ongea na Mwanao alipowasili Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es salaam  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema leo 
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages