LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 10, 2020

MAMA SAMIA AMKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2020-2015 HAWA GHASIA, NANYAMBA, MTWARA LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 Mgombe Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kwa tiketi ya CCM Mhe. Hawa Ghasia wakati wa mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba leo Septemba 10,2020.
 Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini baada ya kuwahutubia mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba leo Septemba 10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages