LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 22, 2020

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAELEZA MADAKTARI KUREJEA TANZANIA

 

  Kundi la kwanza la Watanzania waliohitimu Udaktari nchini Cuba leo Agosti 22, 2020 watasafiri kurejea nchini Tanzania  baada ya kukwama Cuba kwa sababu ya Corona.

Wizara ya Mambo ya nje imesema kuwa kundi hilo la Watanzania  litasafiri kwa ndege maalum ya Ufaransa hadi Paris, kisha kupanda  ndege ya shirika la ndege ya Ethiopia Airline hadi Dar es salaam.

Aidha Wizara imesema kuwa kundi la pili la watanzania waliokwama nchini Cuba litarejea nchini tarehe 4 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages