Murat Aydin mwakilishi kutoka Taasisi ya HAK akichinja ngo'mbe kwa ajili ya kuwapatia familia zisizo jiweza kusherekea kwa pamoja katika sikukuu ya Eid Alhaji. Wawakilishiri kutoka Taasisi ya HAK Humanitarian Aid Organization ya Uturuki wakiwapatia mkono wa Eid kwa kuwapa sadaja ya nyama kwa Kaya masikini na kambi za wanafunzi na watu wenye uhitaji maalumu wilayani Rufiji.
Kasim Akin akiwakabidhi sadaka ya nyama kwa ajili watoto wenye ulemavu Kijiji Cha Mkongo Rufiji.
Samih Cavus wa Tasisi ya HAK akimkabidhi mama kitoweo cha nyama ikiwa ni sadaka kwa ajili ya kusherehekea pamoja Eid Alhaji

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇