Aliyekuwa
Katibu Tawala, Simiyu, Jumanne Sagini, akimsikiliza Afisa Uhusiano, Salum Pazi,
wakati akifafanua kuhusu shughuli za Mamlaka ya Udhibiti Udhibiti Usafiri
Ardhini (LATRA), wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, Mkoani Simiyu.
(Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WIzara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇