Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akitangaza majina ya walioteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu. Majina hayo yametangazwa leo mchana katika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Kumradhi linaanza tangazo yanafuata majina ya wagombea hao
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇