Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Kawawa mjini Kigoma leo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akifurahia jambo na mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia CCM, Peter Serukamba wakati wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Kawawa mjini Kigoma leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wananchi wa Kigoma wakifurahia hotuba ya Dk Magufuli kwenye mkutano huo.
Moja ya mabango yakielezea kero na kumtaka Dk Magufuli azitafutie ufumbuzi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Nguruka Jimbo la Kigoma Kusini
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Husna Mwilima (kushoto) akizungumza na Mmiliki wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka wakati wa mkutano huo.
Wananchi wa Nguruka wakiwa na furaha baada Dk Magufuli kuahidi kutatua kero zao atakaposhinda urais
Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini, Husna Mwilima kitabu cha Ilani ya Uchaguzi wakati wa mkutano huo wa kampeni
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema, akionesha magwanda baada ya kuyavua alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Nguruka
Dk Magufuli akiangua kicheko alipokuwa akishuhudia Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema, akivua magwanda baada ya kutangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Nguruka, Kigoma Kusini.
Dk Magufuli akionesha moja kadi za alizopokea kutoka kwa wapinzani walioamua kujiunga na CCM
Dk Magufuli akionesha kadi mbalimbali alizopokea kutoka kwa wapinzania walioamua kuvihama vyama vyao na kutangaza kujiunga ba CCM katika mkutano huo wa kampeni
Dk Magufuli akisaidiana Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini, Husna Mwilima kuzisambaza kadi mbalimbali za wapinzani zilizorudishwa
Dk Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzani walioamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Nguruka, Kigoma Kusini.
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli alipozuiwa Eneo la Uvinza wakati msafara wake ukielekea Kigoma mjini
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Uvinza mkoani Kigoma
Moja ya mabango yenye ujumbe wa kuwasuta wafuasi wa vyama vya upinzani wanaoshabikia Ukawa
Mjumbe wa Kamati Kuu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, Abdallah Bulembo akitangaza kwa wananchi wasifu wa Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli mjini Kigoma.
Wasanii wa kikundi cha Ze Orijino Komedy wakitumbuiza katika mkutano huo wa kampeni
Akijinadi kwa wananchi mjini Dodoma
Dk Magufuli akiwaaga
Dk Magufuli akiwaaga wananchi baada ya mkutano wa kampeni kumalizka mjini Kigoma leo
Dk Magufuli na viongozi wengine wakicheza muziki baada ya kumalizika kwa mkutano

Ni furaha tupu kwa wananchi hawa wa Nguruka baada ya kumuona Dk Magufuli |

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇