Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Samuel Sitta akizungumza katika mkutano wa kumnadi Mgombea urais wa CCM Dk John Magufuli. Sitta ametangulia mbele ya haki na Mungu azidi kuiweka roho yake mahali pema peponi. Amen.
Dk Magufuli akijadiliana jambo na mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, Abdallah Bulembo wakati wa mkutano huo wa kampeni
Wasanii wa kikundi cha Ze Orijino Komedy wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM MJINI Tabora
Dk Magufuli akiwa na baadhi ya wanachama wapya wa CCM waliojiunga wakati wa mkutano huo
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano huo
Dk. Magufuli akiwapungia wananchi
Mama akiwa amejipamba na picha ya Dk. Magufuli.
Dk. Magufuli kihutubia wananchi akiwa amekaa juu ya gari.
Ni furaha kwa kwenda mbele baada ya kumuona Mgombea urasi wa CCM, Dk. Magufuli
Dk. Magufuli wa CCM akihuubia katika mkutano wa kampeni mjini Nzega
Wananchi wa Nzega, Tabora wakishangilia baada ya Dk. M
Bashe na Kigwangala wakijadiliana jambo
Mgombea ubunge Nzega Vijijini, Kigwangala akijinadi pamoja na kumnadi Dk Magufuli katika mkutano uliofanyika Nzega Mjini
Mgombea ubunge Nzega Mjini, Hussein Bashe akijinadi yeye pamoja na kumnadi Dk Magufuli mjini Nzega.
Abdalah Bulembo ambaye alikuwa mmoja wa makampeni Meneja wa kampeni za CCM, akihutubia alipokuwa akimnadi Dk Magufuli
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Taobora Kaskazini Uyui, Almas Maige.
Ntimizi akijinadi kwa wananchi ili achaguliwe katika Jimbo la Igalula, Tabora
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇