Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15/8/2020.
Wajumbe wakimlaki kwa kusimama, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15/8/2020.NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi, akitoa utangulizi wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇