LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 5, 2020

RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA DUMILA DARAJANI MOROGORO WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dr John Magufuli  ameahidi kufanya upanuzi wa barabara na kujenga vibanda vya Wajasiriamali katika eneo la Dumila, Wilaya ya Mvomelo Mkoani Morogoro. 

Pia alipewa mhindi na kuula palepele wakati akiwa safarini kutoka Dar kuelekea Dodoma.(Picha:IKULU)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages