LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KANISA, NYUMBA YA MAPADRE NA GROTTO PAROKIA YA BIKIRIA MARIA IMAKULATA IKULU CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” na kuzindua  Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea michango kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti wa Chamwino baada ya kuitisha Harambee aliposhiririki  Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru baada ya kukabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya, Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania )TEC) Padri Dkt. Charles Kitima na Paroko wa Kanisa hilo Paul Mapalala baada ya kushiriki  Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine  katika  Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages