Mwanasiasa mkongwe Visiwani Zanzibar ambaye aliwahi kushikilia nafasi mbalimbali kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Muungano wa Tanzania, Mzee Hassan Nassor Moyo (Pichani), ameaga dunia.
Taarifa zinaeleza kuwa Mzee Moyo amefariki katika Hospitali ya Bombo mjini Tanga, na mwili wake ulitarajiwa kupelekwa leo Zanzibar kwa ajili ya maziko.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇