LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 10, 2020

MISS KOROSHO AKABIDHIWA KOMBE LA USHINDI NANENANE DODOMA

 

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi akimkabidhi Miss Korosho 2020, Martha Petro kombe la ushindi wa  mashindano ya urembo yaliyofanyika hivi karibuni wakati wa Maonesho ya Wakulima Nanenane Kanda ya Kati, kwenye viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma. Tuzo hiyo amekabidhiwa wakati wa kilele cha maonesho hayo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA



Mkuu wa Mkoa wa Singida D. Rehema Nchimbi akimpongeza Lenada Jackson ambaye alikuwa msindi wa Nidhamu wa mMashindano yayo ya Miss Korosho.

Dk Nchimbi akiwa na washindi hao wa Miss Korosho









No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages