LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 10, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASISITIZA WATANZANIA KUTOKUACHA KUFANYA MAZOEZI

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 09,2020 ameendelea kufanya Mazoezi ya kutembea masafa ya Kilomita nne yaliyoanzia kwenye Makazi yake mtaa wa Farahani Kilimani jijini Dodoma ambapo amesisitiza kwa Watanzania kutokuacha kufanya mazoezi kwani mazoezi ni muhimu kwa Afya. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages