LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 13, 2020

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA UNAOFANYIKA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteremka kutoka kwenye Kivuko cha Mafia  wakati alipokagua ujenzi wa Kivuko hicho unaofanywa na Kampuni ya Songoro Marine katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanyakazi kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro kuhusu moja kati ya injini mbiili za Kivuko cha Mafia kinachojengwa na Kampuni ya Songoro Marine katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanya kazi kati ya Kisiwa cha Mafia na  Nyamisati Mkoani Pwani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanyakazi kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanyakazi kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Meli ya Songoro Marine baada ya kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2o2o. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanya kazi kati ya Kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages