NI Agosti 15, 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga simu uwanja wa Uhuru kuzungumza na watanzania waliofika kushuhudia burudani inayoendelea muda huu.
Rais Magufuli alisikika akisema ‘Kwakweli nimefurahi sana kwa wasanii na watanzania waliofika kushuhudia burudani, nilikuwa natamani na mimi ningekuwepo kwakweli hongereni sana, nilikuwa nasikiliza kila nyimbo kwakweli CCM ni baba lao’- Rais Dkt John Pombe Magufuli
Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video ujionee Rais Magufuli alivyopiga Simu uwanja wa Uhuru
MAMIA WALIOFURIKA UWANJA WA UHURU, DC GONDWE ATOA KAULI “SIONDOKI, HALI NI SHWARI”
LIVE: KUMEKUCHA DIAMOND, HARMONIZE, ALIKIBA, ZUCHU STAGE MOJA UWANJA WA UHURU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇