LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 16, 2020

DC NGUVILA AKAGUA MNADA WA NDEREMA HANDENI

 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Toba Nguvila (mwenye kofia) akiwaongoza wajumbe wa kamati ya usalama ya wilaya hiyo kukagua mnada wa Nderema, kusikiliza na kutatua kero ili kufanikisha azma ya Mh. Rais Magufuli kuipaisha sekta ya mifugo na wafugaji. Tumejipanga, Tupo Vizuri sana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages