LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2020

WAZIRI UMMY MWALIMU ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA UBUNGE TANGA MJINI


Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Salim Kidima, akimkaidhi  fomu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu za kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tanga Mjini kupitia CCM.


fomu
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwa ameshika fomu yake mara ya kukabidhiwa na katibu wa CCM Salim Kidima (kushoto) 

Ummy akitoka baada ya kuchukua fomu


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages