LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 23, 2020

WATUMISHI TISA TAKUKURU WATUMBULIWA

  Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi Tisa ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.

1 comment:

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages