LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2020

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AFARIKI DUNIA

Benjamin Mkapa
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amethibitisha usiku huu kifo cha Mzee wetu, Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa, aliyefariki dunia usiku huu jijini Dar es Salaam.Taifa limepata pigo, tumuombee Mzee wetu apate pumziko la amani na la milele, Amen. Taarifa zaidi zitatolewa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages