LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2020

SIMBA SC WAWASILI MTWARA TAYARI KUWAVAA NDANDA SC KWENYE MECHI YA LIG KUU JUMAPILI NANGWANDA


Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Meddie Kagere akishangiliwa na mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Ndanda SC Jumapil Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini humo 
Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akishangiliwa na mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo 
Kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquisone akipenya kwenye umat wa mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages