LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2020

RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KIFO CHA MKAPA

 Rais Magufuli ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Ijumaa July 24, 2020 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea jijini Dar es Salaam, katika kipindi chote cha maombolezo bendera zote zitapepea nusu mlingoti.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages