LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 30, 2020

RAIS MAGUFULI, ALHAJI ALI HASSAN MWINYI NA JAKAYA MRISHO KIKWETE WALIVYOWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakijiandaa kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Hayati Tatu Mzee Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 29, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages