LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE LEO, NI WA RAS MPYA MKOA WA SIMIYU

Ikulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli  amemteua Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Taarifa ya Ikulu imesema.

Taarifa hiyo imesema Mariam Perla Mmbaga anachukua nafasi ya  Jumanne Sagini na  ataapishwa Jumatatu tarehe 06 Julai, 2020 saa 4:00 asubuhi Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages