LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 7, 2020

WATEJA WAMIMINIKA KUJIPATIA KOROSHO BORA NA YENYE UBORA WA PEKEE KUTOKA MTWARA

 Mjasiliamali kutoka Mtwara na Mkurugenzi wa Matango Cashewnut, Tatu Matango (kushoto) akiwaonesha Korosho kutoka Mtwara wateja mara walipotembelea Banda la Chama Cha Wafanya Biashara Wanawake Tanzania (TWCC) katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Julai 7, 2020 Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

 Mjasiliamali kutoka Mtwara na Mkurugenzi wa Matango Cashewnut, Tatu Matango (kushoto) akimpatia mteja wake korosho aonje aliyefika  Banda la Chama Cha Wafanya Biashara Wanawake Tanzania (TWCC) katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Julai 7, 2020 Dar es Salaam.. .


 Mjasiliamali kutoka Mtwara na Mkurugenzi wa Matango Cashewnut, Tatu Matango (kushoto) akijaribu kupanga biasha yake ya Korosho ambapo anauza Jumla na rejareja Ofisi ipo Chikongola Mtwara.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages