Mgombea urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi (kwenye gari mbele) akiwapungia mkono wananchi na wana-CCM waliojitokeza katika mapokezi njiani mara baada ya kumpokea Uwanja wa Ndege wa Karume, Mkoa wa Kusini Pemba. PICHA ZOTE NA MWINYI 2020. |
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akifishwa taji la uwa mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Karume, Mkoa wa Kusini Pemba. KWA MATUKIO ZAIDI...BOFYA HAPA |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇