LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2020

MAMBO YAMEIVA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE KWA AJILI YA MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM DODOMA

 Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Jakaya Kikwete ukiwa umepambwa kwa mabango ya Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli, tayari kwa Mkutano Mkuu wa 10 wa chama hicho wa kuchagua jina la Magufuli kuwa Mgombea urais  wa Tanzania  kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2020. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA-CCM BLOG

 Viti vikiwa vimepangwa kwa ajili ya wajumbe wa mkutano Mkuu zaidi ya 1800 pamoja na wageni waalikwa na wanahabari



Katibu Mwenezi wa CCM, Humprey Polepole akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa Mkutano Mkuu huo, kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages