LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2020

MAJALIWA, KIKWETE WATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE MKAPA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mzee Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Julai 24, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,  Mzee Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, leo Julai 24, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, marehemu Benjamin William Mkapa ambako walikwenda kutoa pole kwa familia, leo Julai 24, 2020.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge na wa tatu kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Godfrey Chongolo. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages