LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2020

MAJALIWA AZINDUA JENGO LA KITEGAUCHUMI MJINI MPANDA, LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la Mpanda Plaza ambalo ni kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), mjini Mpanda, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homela na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dkt. Maulid Banyani.
Jengo la Mpanda Plaza  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages