LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2020

MADEREVA WA PIKIPIKI WAGONGANA

 Dereva wa Pikipiki (Bodaboda) akiwa katikati ya Barabara huku Askari wa Usalama Barabarani akiongoza kupunguza foleni iliyokuwepo leo Julai 3, 2020 mataa ya Uhasibu Barabara ya Kilwa akijikagua eneo la mguu baada ya kugongana na mwenzake eneo hilo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Askari wakimsaidia Dereva wa Pikipiki kumtoa eneo la ajali na kumpeleka pembeni mwa Barabara mara baada ya kugongana na mwenzake leo Julai 3, 2020 Dar es Salaam.
 Askari wa Usalama Barabarani akisaidiana na mwendesha Pikipiki kuondoa Pikipiki hizo eneo la tukio

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages