Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Grace Anderson, akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro, jana.
ELIMU YAKE:
Shahada ya pili ya Ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya afya (Master of science in Health Monitoring and Evaluation M&E ) Mzumbe University Morogoro 2015- 2017, Stashahada ya uzamili (Postgraduate diploma in Community Development) Moshi CooperativeUniversity2014- 2015, Stashahada ya tiba kwa njia ya vitendo (Diploma in Occupational Therapy )Tumaini University, Kilimanjaro, Christian Medical College 2000- 2003, Astashahada ya uuguzi ( Trained nurse ) Dareda Nursing school Catholic Diocese of Mbulu 1994-1997, Astashahada ya ukunga (Midwife), Dareda Nursing school Catholic Diocese of Mbulu.1997-1998,
Maarifa ya Nyumbani Ushonaji (Home Science,Tailoring and Needle work)Lole chuo cha ufundi 1987, Elimu ya sekondari Shule ya sekondari(Ordinary level ) shule ya secondary Vunjo 1988-1991, National Form IV certificate, Elimu ya msingi Shule ya msingi Maringa chini 1980-1986,
Your Ad Spot
Jul 16, 2020
Home
featured
siasa
GRACE ANDERSON ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA CCM KUWA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA KILIMANJARO
GRACE ANDERSON ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA CCM KUWA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA KILIMANJARO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇