Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akirejesha fomu za kuwania Ubunge Jimbo la Vunjo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), anayepokea fomu ni Katibu wa CCM wilaya ya Moshi, Miriam Kaaya .
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Moshi, Miriam Kaaya akipitia fomu za Dk. Kimei mara baada ya kuzipokea .
Watia ni wa nafasi za Ubunge katika majimbo ya Moshi vijijini na Vunjo, Victor na Dk. Charles kimei wakioneshana jambo kwenye simu wakati walipokutana katika ofisi za wilaya ya Moshi kwa ajili ya kuchukua na kurejesha fomu
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇