Wananchi wakiangalia angalia ajali ya Basi la mwendokasi lenye namba za Usajili T 810 DGV iliyohusishwa na Daladala yenye namba za Usajili T 363 BPV, usiku wa jana Julai 20, 2020, chanzo cha habari magari yote yakitoke Barabara ya Msimbazi ila Dereva wa Dalala alipofika mataa ya Shule ya Uhuru alikunja kona akitaka kuwahi Abiria waliokuwa hapo kueleke Buguruni na aliingia bila kuangalia upnde wa pili na kusababisha ajali hiyo na kukimbia kusiko julikana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Your Ad Spot
Jul 21, 2020
AJALI YA BASI LA MWENDOKASI NA DALADALA
Tags
Ajali#
featured#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇