Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, AGOSTI 28,2015. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na watoto kwenye gari alipomaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
Msanii wa Muziki wa kizazi kjipya Matonya akitumbuiza wakati wa mkutano
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye pia ni Mgombea ubunge Jimbo la Kyela kupitia CCM, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia katika mkutano wa kampeni wa kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, ambapo alilipua tena sakata la Richmond
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
Dk Magufuli akiwa na mtoto baada ya kujinadi Tukuyu , wilayani Rungwe.
Wananchi wa Kiwira akikimbilia msafara wa Dk. Magufuli uliokuwa ukielekea Kyala
Wakazi w3a Kiwira wakishangaa kumuoana Dk Magufuli
Dk Magufuli akizungumza na wakazi wa Mji wa Kiwira, wilayani Rungwe.
Bodaboda zikiongoza msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela, mkoani Mbeya
Msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela
Dk Magufuli akijadiliana jambo na Dk Mwakyembe
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa Dk Magufuli kujinadi kwenye Uwanja Mwakangale mjini Kyela
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Kyela
Dk Magufuli akimkabidhi Dk Mwakyembe Ilani ya Uchaguzi ya CCM Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka wananchi wa Kyela kumchagua Dk Magufuli na anayegombea ubunge Jimbo la Kyela, Dk Mwakyembe Dk Magufuli akimshukuru Mwakipesile kwa kumpigia debe kwa wananchi ili wampigie kura za nurais Mgombea ubunge Jimbo la Kyela , Dk Mwakyembe akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura Dk Magufuli na yeye
Wazee wa kimila wa kabila la wanayakyusa wakimkabidhi Dk Magufuli silaha za jadi Wananchi wa Tukuyu, wilayani Rungwe wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye alihuwahutubia pamoja na kujinadi Richard Kasesera akitangaza kumuunga mkono mgombea ubunge Jimbo la Rungwe, Sauli Amon Richard Kasesera ambaye katika kinyang'anyiro cha kura za maoni Jimbo la Rungwe alishika nafasi ya pili akisalimiana na Dk Magufuli baada ya kutangaza kumuunga mkono katika kampeni Mgombea ubunge wa Jimbo la Rungwe, Sauli Amon Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi wilayani Rungwe Dk. Mwakyembe akihutubia mjini Tukuyu wakati wa kampeni za Dk Magufuli ambapo aliwapiga vita Mafisadi Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Tukuyu Wagombea ubunge Jimbo la Busokelo, Atupele Mwakibete na Saul Amon wa Jimbo la Rungwe wakionesha Ilani za Uchaguzi baada ya kukabidhiwa na Dk Magufuli Ni furaha iliyoje kwa mama huyo baada ya kumuona Dk Magufuli Dk. Magufuli akipiga picha na baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na CCM walioihama Chadema Dk Magufuli akiagana na wananchi wa Rungwe Dk Magufuli akiwapungia wananchi huku akiwa na mtoto wa mmoja wa wakazi wa Tukuyu
Dk Magufuli akimrudisha mtoto Msafara wa Dk Magufuli ukiondoka mjini Tukuyu, Rungwe kwenda jijini Mbeya
Moja ya mabango ya kampeni za urais ya Dk Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassani lililopo jijini Mbeya

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇