Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.
Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Kwaya ya CWT ikitumbuiza kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia na kufungua mkutano huo wa Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia Walimu wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya ufunguzi Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano huo mkuu wa CWT.
Viongozi mbalimbali pamoja na Walimu wakiimba Wimbo wa Mshikamano kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya Kwaya ya Chama cha Walimu CWT kutumbuiza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇