LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 4, 2020

MWENYEKITI WA THERIA AKIFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA CHAMA HICHO

Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu akifungua Mkutano wa Pili wa Mwaka wakati wa mkutano huo ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020. 
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Joshua Allen akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka kwa wana Taalumawa wa Kumbukumbu za Afya  wakati wa mkutano huo ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Mwaka wakati wa mkutano huo ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020. 
Washiriki wakimsikiliza Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu alipokuwa akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Mwaka ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020.  

Mtunza Kumbukumbu za Afya Mwandamizi MOI, Noel Kiula (kushoto) akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo. kushoto ni Daniel Mulokozi  

Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu (wa wanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja

Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu (wa wanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages