LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 7, 2020

MITAMBO MIPYA YA NIDA YA KUZALISHA VITAMBULISHO 180,000 KWA SIKU YAWASILI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema mitambo mipya ya uchapaji vitambulisho vya Taifa ambayo inauwezo wa kuchapa vitambulisho 180,000 kwa siku, itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages