LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2020

MAZISHI YA ALIYEKUWA MPIGAPICHA WA WAZIRI MKUU CHRIS MFINANGA WILANI MWANGA, LEO

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu Chris Mfinanga likiwa limewekwa katika kaburi, wakati wa mazishi ya mpigapicha huyo, yaliyofanyika leo katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, Wilayani Mwanga mkoaniKilimanjaro. Picha zaidi >>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages