LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 3, 2020

MAKONDA ARUHUSU DALADALA KUSIMAMISHA WANAFUNZI WATANO (+ VIDEO)


Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema kuanzia leo Juni 2, 2020 daladala zianze kupakia Wanafunzi wanne watakaosimama na amewataka Askari wa Usalama barabarani kutozikamata daladala hizo.
Aidha, amesema kwamba agizo la daladala kubeba abiria idadi sawa na siti ‘level seat’ bado halijatenguliwa hivyo watakaokiuka amri hiyo wachukuliwe hatua na Askari wa barabarani.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages