Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya kugomea urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi am,bayo tayari imeshajazwa leo Afis Kuu ya CCM Kisiwandui
Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya kugomea urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇