Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa vya kinga dhidi ya Corona kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.
Mwenyekiti wa Mafunzo Kitengo cha Wanawake, Khadija Ali Alwi akizungumza jambo mara baada ya kukabidhi msaada huo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia) akimsaidia kumvisha vazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa CORONA, Mratibu wa Jinsia Ofisi ya Mganga Mkuu wa Manispaa Rehema Mzungu. kushoto ni Kiongozi wa Taasisi hiyo na Group la Happy Hands, Zainab Bunamy
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Mafunzo pamoja na Group la Happy Hands leo Mei 19, 2020.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇